Leo Februari 4, 2016 ni siku ya hepi besdei ya kuzaliwa Mtangazaji wa Kipindi cha Danga Chee cha Michuzi Tv Online kinachorushwa kila siku ya Alhamisi ndani ya Kituo cha Channel 10, Shamsa Danga, ambaye amepata bonge la sapraizi la keli pindi tu alipofika kwenye kituo chake cha kazi. pichani akipuliza mishumaa kwenye keki wakati wa hafla, huku baadhi ya wafanyakazi wenzake wakishuhudia tendo hilo.
Sehemu ya Team ya Michuzi Media Group (MMG) chini ya Ankal Issa Michuzi (pili kulia) ikiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumpongeza mfanyakazi mwenzao ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Danga Chee cha Michuzi Tv Online kinachorushwa kila siku ya Alhamisi ndani ya Kituo cha Channel 10, Shamsa Danga aliesherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi leo da Shamsa katimiza miaka kumi na ngapi?

    ReplyDelete
  2. Kumi na miwili tu, hata UTINEJA bado.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...