Kijana Eric Filipi Mzee mwenye umri wa miaka 16
ametoroshwa na watu wasiojulikana nyumbani kwa Walezi
wake Mr & Mrs Noel Ngallo Mbezi Beach, eneo la samaki
wabichi karibu na hospitali ya Massana. Kwa taarifa
tunaomba sana yeyote atakayemuona awasiliane kwa simu
namba 0719 308383, 0754 308383, 0715 284951, 0754
284951 au kituo cha chochote cha polisi hususan Kawe na
Osyterbay.
Home
Unlabelled
MTOTO APOTEA, ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...