Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimkabidhi
funguo wa bajaji Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji
cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo
huo wa bajaji.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimpongeza Bi
Shamsa saidi baada ya kukabidhi mkopo wa pikipiki.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akiwasha
bajaji huku pembeni yake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kikundi cha Chama
cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John
Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...