SIMU.TV: Timu ya mpira wa miguu Kawawa imeibuka kidedea dhidi ya Jitimaye katika mashindano ya kuadhimisha miaka 39 ya CCM;https://youtu.be/ojTgaWtzl_Y
SIMU.TV: Ligi kuu Vodacom yazidi kushika kasi kufuatia timu 3 za juu katika michuano kuweza kushinda katika michezo yao mitatu iliyochezwa; https://youtu.be/z-l_Ar83XWE
SIMU.TV: Vilabu vya DARTS Dar es salaam vyaingia kambini kuanza mazoezi kwajili ya mashindano ya taifa huku wakiomba udhamini kutoka kwa wadau; https://youtu.be/6QFKqv5_C1A
SIMU.TV: Kiwanda cha sukari Mahonda Zanzibar huenda kikasitisha uzalishaji wa sukari kufuatia hujuma za kuchomwa kwa mashamba ya miwa; https://youtu.be/tlAHrxg_W5U
SIMU.TV: CCM Makangira Msasani yazindua ofisi mpya za chama iliyogharimu mil 57 ili kuboresha mazingira ya utendaji wa chama;https://youtu.be/F09e3Uysl88
SIMU.TV: Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Tanga, wametakiwa kutenga bajeti ili kuboresha sekta ya elimu mkoani humo:https://youtu.be/Pd3E8NQjdAM
SIMU.TV: Kupotea kwa sarafu ya shilingi 500 kumeonekana kuleta mkanganyiko mkubwa miongoni mwa wananchi na kusema ina vito vya thamani: https://youtu.be/KWluNFn805w
SIMU.TV: Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amesema ataitisha kikao na viongozi wa dini zote nchini ili kuweza kuishauri serikali ya awamu ya tano:https://youtu.be/-ErxBVYaA64
SIMU.TV: Vikosi vya ulinzi na usalama visiwani Zanzibar watakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kutetea mapinduzi ya Zanzibar:https://youtu.be/D7uFbznl3e0
SIMU.TV: Yajue mambo kadha wa kadha kutoka kwa mchambuzi akikudadavulia kuhusu Tanzania yenye viwanda nini nafasi ya kilimo:https://youtu.be/WxfKD_U_hoA
SIMU.TV: Fahamu mengi kutoka kwa wadau wa kitengo cha ardhi nchini wakikuelimisha mengi kuhusu masuala faini ya kodi ya ardhi:https://youtu.be/8a1_tchAriU
SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa Mkurugenzi wa vyuo vya amali visiwani Zanzibar akikujuza mambo mengi kuhusu vyuo hivyo :https://youtu.be/vGaHtI7wMvc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...