Home
Unlabelled
UWEKEZAJI WA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI NA SALAMA WA RUVU CHINI NA RUVU JUU SASA INAELEKEA KUKAMILIKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka naomba urekebishe taarifa hii imeandikwa tarehe 02 March, 2016 ambayo bado hatujafikia
ReplyDeleteAhsante kwa usikivu, nimeona marekebisho
ReplyDeleteHongera sana Tanzania, Magufuli kaza buti.
ReplyDeleteTanzanialinks.com
HONGERENI MRADI MZURI SANA, LAKINI KUNA MAENEO MENGI HAPA DSM HAYAPATI HUDUMA HII INAKUWAJE? MBEZI YA BARABARA YA MOROGORO MAENEO YA NJIA PANDA YA MAKABE/GOBA NA KWINGINEKO HAKUNA MAJI NA WENYE BIASHARA YA KUUZA MAJI KWA MAGARI YAO WANAFURAHI TU, HUKU NDOO YA LITA 20 NI SH 500/= SI KILA MWANANCHI ANA UWEZO. MVUA NAZO SI KILA SIKU KWAMBA TUTAKINGA MAJI YA MVUA. TUFIKIRIENI MAJI YANATOKA RUVU YANAPELEKWA MJINI YANAPITA KWETU SISI TUNAPATA SHIDA.
ReplyDeleteKwa sisi tunaoishi kinyerezi ni lini tutapata haya maji, kwani hata dalili ya kutandazwa mabomba hakuna
ReplyDelete