FC KILIMANJARO ikishirikiana na TANRIKS inapenda kuwakaribisha katika sherehe za kuchangia timu yetu ya FC KILIMANJARO itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 27/FEBRUARI/2016 katika ukumbi wa BERGSHAMRASKOLAN,HJÖRTSTIGEN 1.Muda utakuwa kuanzia saa ja jioni hadi saa kumi na mja alfajir(19.00-05.00) kIINGILIO itakuwa ni bure(free entrance) Chakula na nywaji vitauzwa kwa bei nafuu.Come and enjoy good music East Africa music from our best DJ`S.COME ONE COME ALL......UKIPATA UJUMBE HUU SAMBAZA KWA WENGINE. ASANTE.........KAMATI YA MAANDALIZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duuuuhhhhh! Kumbe hata hawajui bendera yetu ya Taifa ikaavyo!!! Jamani mnatupeperusha miguu juu kichwa chini. Sahihisho; Bendera yetu Kijani siku zote ni juu na Bluu chini na rangi za Njano na Nyeusi siku zote kutoka chini ya upembe wa bendera kushoto kwenda juu kwenye pembe ya kulia.

    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...