Waziri Mkuu Mhe Kassim Majliwa akizungumza wakati alipofunga mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. 
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majliwa akizungumza wakati alipofunga mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. 
 Washiriki wa  mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi wakGimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipofunga mafunzo hayo kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016.
Waziri Mkuu Mhe. Kasim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi  baada ya kufunga mafunzo hayo  kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi, naomba kuuliza jina rasmi la mheshimiwa waziri mkuu ni lipi:
    Kassim Majaliwa Kassim
    Majaliwa Kasim Majaliwa
    Kassim Majaliwa Majaliwa

    Nimeuliza hivyo kwa kuwa baada ya kuisoma Globu ya Jamii leo hii nimeona Mh. Waziri Mkuu ameandikwa, ametajwa na bango kuonekana majina yake yakiwa ktk mtiririko tofauti, je jina lake rasmi lipo ktk mtiririko gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...