Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa
,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Zakia
Meghji (wa kwanza kulia) akifungua Baraza la tatu la Wafanyakazi Taasisi
hiyo sambamba na utoaji vteti kwa wafanyakazi bora na pesa taslimu kwa kila mfanyakazi, Dar es Salaam leo katika Ukumbi wa NIMR. wa katikati ni Kaimu
Mkurugenzi wa Taasisi Dkt, Othman Kiloloma na anayefatia ni Katibu wa Baraza la wafanyakazi hilo Dkt. Clement Mugisha
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...