KATIKA kusherekea siku ya Wanawake duniani Benki ya CRDB tawi la Mlimani City washerekea siku hiyo na wanawake wenye kaunti za MALKIA katika tawi hilo siku hiyo ya wanawake hufanyika Machi 8 kila mwaka.

Keki na vinjwaji mbalimbali ambayo imeandaliwa na wafanyakazi wanawake wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...