Keki
ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa
kushirikiana na Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women
Interfaith Network.
Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hotuba kutoka Tazania women Interfaith Network.
Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hotuba kutoka Tazania women Interfaith Network.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake
lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada
anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global
Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...