Familia ya Ruhuza inasikitika kutangaza kifo cha mzee wao askofu Christopher Ruhuza kilichotokea siku ya jumapili tar 6 march 2016 mkoani kigoma. Mazishi yanategemea kufanyika siku ya ijumaa tar 11 march 2016 kijijini kwake mabawe ngara. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki waliopo nje na ndani ya nchi. Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Home
Unlabelled
TAARIFA YA MSIBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...