Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo
mpya wa kufua umeme wa Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi
15, 2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani.

aziri Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wakimbizi wa Burundi walioko
katika kambi ya Lumasi iliyopo wilayni Ngara. Alikuwa katika ziara ya
mkoa wa Kagera Machi 15 2016.
Baadhi ya wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo
wilayani Ngara wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipowahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...