Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na
Muungano Mheshimiwa January Makamba, akiongea na Wanakikundi wa Umoja wa
Watengeneza Mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) walipomtembelea Ofisini
kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...