Shirika la ndege la RwandAir linapenda kuwatangazia wasafiri wake wanaoelekea nchini Rwanda kuwa hawatahitajika kuwa na chanjo ya vitabu vya njano (Yellow Fever) pindi waelekeapo nchini humo.

Meneja mkazi Shirika la ndege la RwandAir nchini Tanzania, Ibrahim Bukenya amesema chanjo ya Yellow Fever itahitajika kwa wasafiri wanaotoka kwenye nchi zilizo na tatizo la Yellow Fever pekee kuelekea nchini Rwanda.
Ameendelea kuwashukuru wateja na wasafiri  wote wa RwandAir na kuwaomba kusafiri nao tena na tena na tena bila kuchoka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bado AirTanzania. Ndege tatu zinakuja. AirTanzania mpya iunganishe nguvu kushare passengers na makampuni makubwa. Wakitua na KLM wapande AirTanzania.

    ReplyDelete
  2. Rwandair DSM office notify TAA airport official before boarding great hassles though they might be knowing But it's high time now

    ReplyDelete
  3. well said mdau hiyo itasaidia sana issue ya kuunganisha kwa air Tanzania

    ReplyDelete
  4. Msichoelewa ni kwamba KLM walishataka ku code-share na Air Tanzania miaka ya nyuma, kwani destinations nyingi za wateja waozipo ndani ya Tanzania na sio Kenya. Waswahili mkawapiga danadana mpaka wazungu wa watu wakachoka wakaenda ku-sign code-share agreement na KQ. Bado tuna tatizo kubwa ambapo maamuzi ya kiuchumi na kibiashara yanafanywa na wanasiasa wenye upeo mdogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...