Meneja Mkuu wa Efm redio, Denis Sebo akiwa katika picha ya pamoja na washidi wa shindano la shika ndinga walioshinda pikipiki kwenye viwanja vya Jica Shule Ilala jijini Dar es salaam. Kulia ni Zainabu Mhagama na kushoto ni Said Abdallah.

Mtangazaji wa kipindi cha uhondo Adam Melele a.k.a Swebe Santana wa Efm redio akimkaribisha Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro ili atowe zawadi kwa washindi wa tatu na wa pili kwenye viwanja vya jica Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
.Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro akiwa na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Vodacom Materi Mushi akiwakatika picha ya pamoja na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mpya hiyo, Mchina kajiita Juma Sharobaro mla vyura na membe toka China

    ReplyDelete
  2. Sasa kama kajiita Sharobaro wewe unamtukana na mambo ya "vyura na membe" itakusaidia nini?
    Wewe humuoni kama huyu ni genious?? Wewe unaweza kwenda china ukakubalika namna hii, au unabaki na wivu wako wa kijinga tu. Ma looser utawajua tu hata kwenye comments zao!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...