Meneja Mkuu wa Efm redio, Denis Sebo akiwa katika picha ya pamoja na washidi wa shindano la shika ndinga walioshinda pikipiki kwenye viwanja vya Jica Shule Ilala jijini Dar es salaam. Kulia ni Zainabu Mhagama na kushoto ni Said Abdallah.
Mtangazaji wa kipindi cha uhondo Adam Melele a.k.a Swebe Santana wa Efm redio akimkaribisha Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro ili atowe zawadi kwa washindi wa tatu na wa pili kwenye viwanja vya jica Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
.Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro akiwa na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Vodacom Materi Mushi akiwakatika picha ya pamoja na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).


Mpya hiyo, Mchina kajiita Juma Sharobaro mla vyura na membe toka China
ReplyDeleteSasa kama kajiita Sharobaro wewe unamtukana na mambo ya "vyura na membe" itakusaidia nini?
ReplyDeleteWewe humuoni kama huyu ni genious?? Wewe unaweza kwenda china ukakubalika namna hii, au unabaki na wivu wako wa kijinga tu. Ma looser utawajua tu hata kwenye comments zao!!