Mpendwa Meryciana,
Hakika umekuwa mwema, mkarimu, mwenye
nidhamu na mwenye upendo kwa kila mtu, dada zako wapendwa na wadogo zako, mama,
ndugu na jamaa wote.
Hakika wote tunakupenda na zaidi ya yote
tunakutakia maisha marefu na yenye baraka tele. Ukafanikiwe yale yote ambayo
ndio haja ya moyo wako, Mungu na akafungue milango yote ya baraka na akufanye
uwe mwenye furaha katika maisha yako yote ya apa dunia na ata baadae.
UWE NA MAISHA MAREFU SIKU ZOTE!!!!
KR na FAMILIA



Millennial! aka generation Y.
ReplyDeleteHappy birthday, you are beautiful too
ReplyDeleteLong live Meryciana.Happy born day to you.
ReplyDeleteBeauty is in the eye of the beholder!
ReplyDelete