Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Utendaji wa JPM unaonekana wa kuridhisha. Ila hiyo si sababu ya kifo cha vyama vya upinzani au kudumisha ccm. Ikumbukwe kuwa kupatikana kwa JPM kuwa mgombea wa CCM ni kwa sababu ukawa walishawagaragaza wamiliki wa ccm wa wakti huo kama kina Lowasa na wengineo. CCM ilikuwa kifo na wana-ccm walijuwa bila mtu kama JPM japo alikuwa si mmiliki wa ccm, ccm ingekufa. Hivyo JPM ni zao la ukawa, ndiwo walio-push burtons.

    Hata huko mbele tunahitaji vyama vingi ili kuchallenge chama chochote tawala hata kama chama hicho hakitakwa ccm.

    Nchi kwanza, chama badaye.

    ReplyDelete
  2. Mwenyezi Mungu, akutangulie Rais JPM. Akupe afya njema ili uchape kazi. Kazi yako na uongozi wako unaonekana. Tanzania yetu itapendaza.

    ReplyDelete
  3. Hongera Mh.Rais, kwa kweli kazi zako zinaonekana kwa upeo mpana wa kuwasaidia wananchi wote.
    Viongozi waliopita inabidi wakusaidie ili pasiwepo na makundi ya kukurudisha nyuma. Tanzania ya leo imeanza kurudisha heshima yake. Viongozi wa serikali wa leo wana heshima yao na sio kama wale wa waliopita wasiokuwa na tofauti na wafanya biashara.
    Mungu akulinde wewe na wananchi wote kwa ujumla.

    ReplyDelete
  4. Mwenyeez Mungu mlinde, muongoze, msaidie, mpe nguvu, mjaaliye afya njema, mzidishie imani na uaminifu zaidi na zaidi, mjaaliye moyo wa subira na upendo, mnusuru na shari zote na umkurubishe kila penye kheri kwa manufaa ya Taifa zima la Tanzania, si mwingine bali ni Mh. Rais wetu wa awamu ya Tano John Pombe Joseph MAGUFULI - AMEN!

    ReplyDelete
  5. Tunaona Tanzania, Mpya heshima ya Mali za Watanzania sasa zikianza kuheshimiwa, Tunamshukuru Raisi wetu JPM kwa kurejesha heshima ya kuwajibika na kuthamini Mali za umma sasa ikizingatiwa. Kweli JPM ameweza thubutu bila kuogopa kuijenga upya Tanzania. Najua pamoja tunaweza kwani tuna kiongozi mwenye maono ya kuijenga Tanzania kwa kuwasaidia wananchi ambao wako kwenye kilio cha umadikini pamoja na mchango wao wa kodi wanayochaingia serikali kuishi kwa wajanja wachache. JPM amekuwa mkombozi wa kweli . Mwenyezi Mungu amlinde Raisi wetu na Taifa letu.

    ReplyDelete
  6. VIVA RAIS WETU!!! MUNGU AKUBARIKI SANA!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...