Vijana wa Kimasai wakionyesha umahiri wao wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha zilzofanyika jana
Mjumbe wa NEC ambaye pia ni Ofisa mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi makao Makuu ya CCM akimtuza Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akimtawaza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha, Peter Ndereko kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Kata hiyo, wakati wa sherehe za kumpongeza diwani huyo jana
Diwani wa Kata ya Engarenaibor Peter Ndreko akionyesha zana alipokabidhiwa na Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kumtawaza kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Kata hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laizer.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...