Mpendwa wetu Pius Wilfred Shangali, leo ni miaka 8 tangu ulipotuacha katika simanzi isiyoweza kuelezeka kwa maneno wala vitendo, kwa mema yako, tutaendelea kukuenzi na kukumbuka hadi tutakapo kutana tena paradiso.

Unakumbukwa na wazazi wako Baba Wilfred Shangali na Mama Shangali, wadogo zako Theophil, John, Christer na Bertha pamoja na dada zako Jane na Suzy bila kuwasahau marafiki zako.

Tutakukumbuka daima Pius. 

Pumzika kwa Amani.

Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. You was My Best Friend thank you for represent me there..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...