Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi Cheti cha Ushiriki Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika wakati wa kilele cha Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi yanaondelea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akikionesha cheti cha ushiriki wakati wa Maonyesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi, yanaondelea mkoani Dodoma.
Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bw. Athuman Juma akitoa maelezo kwa wananchi , kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo, wakati wa Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi.
Afisa Uhusiano na Uhamasiahaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga akifafanua jambo kwa moja wa wadau waliohudhuria Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA, wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa SSRA, Bw. Ally Masaninga katika maonesho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi hizi warsha makongamano sijui nini yataisha lini TAnzania watu watulie makazini wafanye kazi kwa weledi badala ya kushikilia posho! pesa za kutengeza fulana na kofia jamani watAnzania tumechoka na ufisadiiiii! kaeni kwenye viti vyenu mfanye kazi mbona nchi za wenzetu ziloendelea hatusikii vitu vya kijinga namna hii ! warsha makongamano! sijui upuuzi gani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...