Home
Unlabelled
KWA KUANGALIA PICHA HIZI, UNADHANI MDAU HUYU ALIKUWA ANASHANGILIA KITU GANI???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, baada ya kusikia JPM ameshinda so anajua fika maisha ya walala hoi hayata chezewa tena na MAFISADI ha ha ha chezea JPM wewe
ReplyDeleteAnajipa matumaini tu
ReplyDeleteAnashangilia goli la pili la Yanga la Haruna Niyonzima dhidi ya Mwadui jana 13.04.2016.
ReplyDeleteAnashangilia goli la pili la Yanga lililofungwa na Haruna Niyonzima dhidi ya timu ya Mwadui jana 13.04.2016.
ReplyDeleteUshindi wa mchezo wa mpira
ReplyDeleteHii ni staili yakuendesha hicho chombo anachokiendesha. Kwa kawaida inahitaji matendo kama hayo ili chombo kikubali matakwa yako! Kwahiyohashangilii kitu ila anaendesha hicho chombo.
ReplyDeleteNadhani itakuwa ni 'swaga' zake katika kuliendesha hilo rikwama lake (mkokoteni) ukizingatia na bara bara pia ipo clear haina msongamano sana wa magari wala pita pita nyingi za watu, hivyo kufanya utendaji wa kazi yake uwe rakhisi bila uchovu wala nini hivyo inabidi ajipe self motivation ili aendelee kuwajibika kwa style hiyo ya kuruka ruka na kushangilia na kuifanya kazi ya siku nzima iwe nyepesi.
ReplyDelete