
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kushoto akimpatia maelezo Wazairi wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu a Mh. Jenista Mhagama maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu katikati, wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Steven Kebwe

Baadhi ya wasanii wakiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu kesho.

Maandalizi ya uzInduzi wa Mbio za Mwenge yakamilika mkoani Morogoro kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Mh. Steven Kebwe akiangali zoezi la matayarisho ya uzinduzi huo.

Maandalizi ya uzunduzi wa Mbio za Mwenge yakamilika mkoani Morogoro kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Mh. Steven Kebwe akiangali zoezi la matayarisho ya uzinduzi huo na kushoto ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama.

Baadhi ya watoto wa shule wakiwa katika maandalizi maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kushoto akimpatia maelezo Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu a Mh. Jenista Mhagama maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu


jamani muda umefika hizi mbio za mwenge zifutwe,hii ni kupoteza hela tu.watu wanalipwa,magari misululu na mafuta yote gharama,muda wa kufanya kazi unapotea watu wanazunguka tu na mwenge. wote najua mwenye unasimamia nini hakuna haja ya kutumia fedha za kuwaendeleza wananchi kwa mambo ambayo hayamfaidishi mwananchi wa kawaida. watu wameifanya ajira hii kila mwaka . Walau basi mbio za mwenge zifanyike mkoa mmoja tu mwaka mmoja na mkoa mwingine mwaka mwingine kupunguza gharama maana tanzania ni kubwa. Mheshimiwa Rais liangalie hili kama ulivyofanya huko nyuma na sherehe za ukimwi ili hiyo bajeti ikafanye mambo mengine.Uncle Michu hebu tutafutie gharama ya mbio za mwenge tanzania nzima ni Tsh.ngapi? najua kila mtu hataamini ilivyo kubwa.
ReplyDelete