Jiwe
la msingi lililozinduliwa na Mh.Naibu waziri wa Ofisi ya makamu wa raisi
muungano na mazingira Mh.Luhaga Mpina kata ya Madale jijin Dar es salaam
kuashiria uanzishwaji wa kampeni ya upandaji miti nchini kote,
Naibu
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi muungano na mazingira Mh.Luhaga Mpina
akizindua rasimi jiwe la msingi la kampeni ya Upandaji miti Kitaifa jijini Dar
es salaam,
Naibu
waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina
akipanda mti katika kata ya Madale jijini Dar es salaam.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa raisi Muungano na Mazingira akiongea na
Waandishi wa Habari baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti
katika kata ya Madale jijini ikiwa ni sehemu ya kampeni kitaifa ya kupanda miti






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...