Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe (kulia) akiongea jambo kabla ya kuahirishwa kwa mkutano huo. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Mkutano huo wa muda, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taaluma Prof Florence Luoga (katikati) na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja.

Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...