UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara fanicha za ofisi na nyumbani  tarehe 23  April, 2016 Jumamosi saa 4:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street. (nyuma ya Lion Hotel Sinza, Dar es salaam) 
MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Sofa bed, Chest drawer, China base, Hatch, Dressers, Coffee table, Book case, Dining table/chairs, Meza za ofisi, Bamboo chairs, Carpet,  Vitanda, Magodoro, Fridge, Freezer, Majiko,  Washer, Dryer, Air condition split unit na vingine vingi. 
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 20 mpaka 22 April,  2016 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 11.00 jioni.


MASHARTI YA MNADA:
  1. Mnunuzi   atatakiwa kulipa malipo yote pale pale kwa keshia (cashier).
 Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.

  1. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
 Mali zote zilizouzwa zitatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi. 
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
PLOT NO. 5 “E” LION STREET SINZA
CELL NO:  0754 284 926, 0757 284 926                        
E-mail: universalauction@hotmail.com
DAR ES SALAAM.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...