"Baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu na CCM kupewa idhini na wananchi kuunda serikali ya kuongoza nchini, sasa ilani hii ndiyo inayotekelezwa nchini kote" akisema Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka huku akionyesha kitabu cha ilani hiyo, alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mjumbe
wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao
Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu
wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika
eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
Wananchi
wakimsikiliza Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini
Moshi mkoani Kilimanjaro
Wananchi
wakimshangilia Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua
mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Mchana.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...