Mwili wa Marehemu Washington Benbella ukitolewa kanisani baada ya kufanyiwa maombi pamoja na kugwa kwa mili huo katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mustafa Hassanali akimzungumzia marehemu Washington Benbella alivyomjua pamoja na kufanya kazi naye kwenye kampuni ya Swahili Fashion.
Mama mzazi wa Marehemu Washington Benbella akialia kwa uchungu wakati wa kuaga mwili wa mwaye katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili.
Mustafa Hassanali akiaga mwili wa marehemu Washington Benbella wakati wa misa iliyofanyika katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...