Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akitembea kwenye Daraja la Kigamboni mara baada ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akiangalia mandhari ya daraja la Kigamboni mara ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam.
Umati wa wananchi wa Mji wa Kigamboni uliofika kushuhudia uzinduzi wa Daraja la Kigamboni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...