Hatimaye mkutano wa kwanza kikao cha 3 wa bunge waanza kwa wabunge kuimba wimbo wa taifa na baadhi yao kula kiapo. https://youtu.be/f57xQQpC0g8
Je ni nini hatma ya uchaguzi kwa majimbo ya Bulyankulu na kamindo ikiwa uchaguzi haujafanyika hadi leo? Dkt. Abdallah Possy atoa ufafanuzi. https://youtu.be/8SNCVdhVIWo
Mhe. Suleiman Jafo atoa ufafanuzi na utaratibu wa serikali juu ya hospitali zinazopandishwa hadhi kukidhi haja za wananchi. https://youtu.be/ML8YBrXhsEs
Mbunge wa Njombe mjini aihoji serikali juu ya upigaji marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki unaosababisha uharibifu wa mazingira. https://youtu.be/iV2ZYeyJyRU
Naibu waziri wa nishati na madini Dkt Medard kalemani atoa ufafanuzi wa kuanza kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Malagarasi. https://youtu.be/t7_oKC3IJs4
Je serikali inaweka msukumo gani kwa Geita Gold Mining kuhakikisha inawalipa wananchi wa mtaa wa Mgusu fidia ili kupisha eneo hilo? https://youtu.be/UkKkeK4IfG4
Kauli ya Wizara ya mambo ya ndani kuhusu baadhi ya vituo vya polisi nchini kuwa na askari wachache na kutofanya kazi kwa masaa 24. https://youtu.be/mbGxM4Gm3zo
Je ni lini uwanja wa ndege wa Musoma utajengwa na kuwa kwenye hadhi ya stahiki ya kitaifa au kimataifa? Mhe. Joyce Sokombi ahoji. https://youtu.be/Lk-dIJtkgt8
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...