Home
Unlabelled
serikali itashirikiana Millen Mageses katika kupambana na ugonjwa wa Endometriosis
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Millen Magesse, kwanza pole sana kwa maradhi yanayokusumbuwa kwa muda mrefu sasa, naamini Mwenyeez Mungu atakuja kukujaaliya shifaa (tiba) utapona na ipo siku ndoto yako ya kumpakata mwanao wa kumzaa itatimia, In Sha Allah.
ReplyDeletePia nikupongeze sana kwa kuliona hilo tatizo la ugonjwa huo wa Endometriosis na kulipa uzito wa pekee, khususan kwa kuwa na ujasiri wa pekee kwa kulitangaza, kulielezea kwa kina katika jamii zetu na pia kulitolea taaluma kupitia taasisi yako. Kama alivyoweza kufahamisha Mh. Makamo wa Rais, Mama Samia Suluhu, tunaamini serikali haitakutupa mkono kama ilivyoahidi na kwa kufanya hivyo utakuwa umenusuru uma wa walio wengi khususan wanawake katika kujuwa, kufaham na kuzibaini dalili za ugonjwa huo na hata kuweza kujipatia tiba before it's too late kwa yule atakaekuwa amebainika na tatizo hilo. Mola akubariki na kukuzidishia nguvu na uzima ili ndoto zako zote zitimie na kukuzidishia furaha katika maisha yako.