Familia ya Marehemu Urban Peter Mbuya, inatoa Shukrani zake za dhati kwa wale wote walioshikiana nayo katika kipindi chote cha Msiba mpaka Mazishi ya Baba yao Mpendwa, Mzee Urban Mbuya.

Familia imeandaa misa ya kumuombea Marehemu, ambayo itafanyika Aprili 26, 2016 katika Kanisa la Mt. Peter, Oysterbay, Jijini Dar es salaam, Saa nne Asubuhi.

Watu wote wanakaribishwa....

"Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe" Amin.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...