Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba kwa Waandishi wa
Habari hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Malaria
Duniani ambayo yatafanyika tarehe 24/04/2016 Zanzibar.Mwengine ni Naibu
Waziri wa Afya Harusi Idi.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa ufafanuzi wa maswala
mbalimbali yalioulizwa katika mkutano wake na Waandishi wa Habari
akielezea kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani yatakayofanyika
Tarehe 24/04/2016 Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa
Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Siku ya
Malaria Duniani yatakayofanyika Tarehe 24/04/2016 Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...