Watu 3 wafariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Prado lililokuwa likitokea Tabora kwenda Mwanza kupinduka. https://youtu.be/Yr8XDr_KIZA
Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es salaam yasongeza mbele uamuzi juu ya ombi la kuondoa shitaka la utakatishaji fedha linalowakabili aliyekuwa mkurugenzi wa zamani wa TRA Harry Kitilya na wenzake wawili.https://youtu.be/5SZmvACOK0g
Wamiliki na madereva wa daladala mkoani Morogoro wamendelea kugoma baada kutoridhishwa na utendaji kazi wa afisa mfawidhi wa SUMATRA kwa madai ya kuwatoza faini mara mbili. https://youtu.be/Cgoo_31LNn8
Wakazi zaidi ya elfu arobaini kutoka wilayani karatu wanapata maji safi na salama kutoka msitu wa Ngorongoro jambo ambalo limetoa fursa ya maendeleo kwa wakazi hao. https://youtu.be/SutZM-sSnmI
Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imekamata shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu katika maduka ya vipodozi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.https://youtu.be/mhuhoN7QOdk
Watu kumi na saba kati ya mia sita waliochukuliwa vipimo vya magonjwa yasiopewa kipaumbele wamebainika kuwa na ugonjwa wa vikope.https://youtu.be/Se5CGAq3MbA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...