Katika kuhakikisha kuwa Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi, Manispaa ya Ilala imeanza kukata matawi ya miti ambayo yalikuwa yakihatarisha usalama wa wananchi wakiwemo wapita njia na magari, kama picha inavyoonyesha usafi ukifanyika katika mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam leo. Picha na Benedict Liwenga-MAELEZO
Home
Unlabelled
usafi wa mazingira wilaya ya ilala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...