Gari lenye namba za usajili T 709 AYW likiwa limeegeshwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi likiwa limesheheni barafu ambapo haikufahamika mara moja ilikuwa ikipelekwa wapi.
Mnamo majira ya saa 11: 25 alfajiri, gari hilo inadaiwa liliingia katika kivuko cha MV Lami na lilinasa kwenye mlango wa kivuko hicho kwa kile kinachodaiwa ni kuzidisha mzigo mkubwa na kusababisha kunasa katika mlango huo na kusababisha MV Lami kusukumwa na gari hilo na ikabidi barafu hiyo kupakuliwa kisha gari hilo kuvutwa na na gari lingine lenye namba za usajili T 661 AXB na kupelekwa Kituo cha Polisi cha Kigamboni Jijini Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...