Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Jecha Salim Jecha akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva ,Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani pamoja na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi walipokutana makao makuu ya NEC kuzungumzia maswala mbali mbali ya Demokrasia na mustakabali wa Siasa za Tanzania hapo jana tarehe 9-5-2016.


Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...