Kijana mjasiriamali Diana Moshi (Kulia) akimkabidhi keki Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano Airtel, Beatrice Singano Mallya (Kushoto) kama shukrani yake kwa Airtel baada ya kuwezeshwa  kupitia mpango wa Airtel FURSA "Tunakuwezesha"  kwa kukabidhiwa vifaa vya kisasa vilivyomsaidia kuboresha biashara yake ya kupika keki na kumsaidia kupata mafanikio. Makabidhiano hayo yalifanyika katika makao makuu ya ofisi za Airtel Morocco jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2016

    Great. How many actually come back to say thank you? This reminds me of a biblical story.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...