Ras Makunja (pichani juu) kiongozi wa  Ngoma Africa band akiwa kazini. Bendi hii almaarufu kama FFU Ughaibuni imetajwa ni bendi hiliyovuka dhoruba na kushika chati ulaya kianzo kimoja maarufu cha habari barani ulaya AFRONEWS kimeitaja bendi hiyo kuwa imejijengea ngome imara na kuwashika washabiki wa kimataifa kisawa sawa soma zaidi bofya link chini

How Ngoma Africa Band has survived the storm to become one of the most sought-after African bands in Germany http://www.afronews.de/entertainment/ngoma-africa-band-survived-storm-become-one-sought-african-bands-germany/
 Kikosi kizima cha Ngoma Africa band 
 Ngoma Africa band  katika gwaride
 Malkia wa Ngoma Africa band  kazini
Gwaride la Ngoma Africa band si mchezo. Hatumwi mtoto dukani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2016

    Viumbe wa ajabu Ngoma Afrika band aka FFU-ughaibuni bin watoto wa mbwa wazee wa kukata na kufunua

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2016

    haya jamaa inamaana wanafanya kweli ! miaka 23 kuwepo ktk gemu siyo mchezo inamaana mbinu zote chafu na safi za music industry wanazo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...