Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akimsalimia Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati
alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma
jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akiwasalimia
baadhi ya Maofisa wa Mamlaka hiyo, alipotembelea banda la mamlaka hiyo,
katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day),
viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Home
Unlabelled
RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA SSRA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...