Home
Unlabelled
MZIBUAJI BORA WA MWAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mazingira ya kazi hatarishi. hii ni kukiuka viwango vya mazingira ya kazi. wizara ya kazi na mazingira wako wapi? hakuna hata vifaa ama nguo? mbona tunapunguza maisha yake na kuhatarisha familia yake jamani? so sad!
ReplyDeleteSub'handallah! Yaani kuzibuwa tu huko utadhani mtu anazamia lulu..?! Kweli hata akishaitia mkononi hiyo rizki yake, basi ni ya halali kabisaaa! Hata mtu akimdhulumu basi itamtokea puani kwa kweli. Mana na hilo tope la hapo huo uvundo wake na hayo maji sijuwi ni ya chemba ipi Yailahi. Pole sana ndugu yangu ipo siku Mwenyeez Mungu atakuinuwa na kukusahaulisha mapitio yote hayo, usikate tamaa katika kutarazzak ipo siku, In Sha Allah.
ReplyDeletehuyu hana akili
ReplyDeleteDuh! Anahatarisha afya yake, na maisha yake katika uzibuaji wa sampuli hii.
ReplyDelete