Mwili wa marehemu ukiingizwa katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es salaam leo tayari kwa kuswaliwa kabla ya mazishi.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimfariji  baba wa marehemu Ankal Issa Michuzi. 
Mama wa marehemu (aliyevaa nguo nyeupe) akiwa na ndugu wa karibu wakiomboleza. 
Baba wa marehemu akiwa na viongozi wa dini wakiombea mwili wa marehemu dua.
Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na ndugu wa marehemu. kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2016

    Pole Bwana Issa. I felt for you. Yote heri kakangu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2016

    Inasikitisha poleni ndugu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2016

    Pole sana ankal

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2016

    Allah ampe kauli thabiti na alifanye kaburi lake liwe ni ktk viwanja vya pepo.

    ReplyDelete
  5. INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN. TUNAMUOMBA ALLAH MTUKUFU AWAPE SUBIRA NA AWALIPE KWA SUBIRA HIYO. TUNAMUOMBA ALLAH AMREHEMU MWANETU, AMSAMEHE NA AMUINGIZE PEPONI. AAAMIIIIIN.

    ReplyDelete
  6. Hassan from GlasgowMay 15, 2016

    Innaa lillah wainnaa ilayh rajiuun.pole ankal Allah akupe subra Na upasi mtihani huu.

    ReplyDelete
  7. Ina Lillah wa ina Illah Rajghun. Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...