Mwili wa marehemu ukiingizwa katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es salaam leo tayari kwa kuswaliwa kabla ya mazishi.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimfariji baba wa marehemu Ankal Issa Michuzi.
Mama wa marehemu (aliyevaa nguo nyeupe) akiwa na ndugu wa karibu wakiomboleza.
Baba wa marehemu akiwa na viongozi wa dini wakiombea mwili wa marehemu dua.
Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na ndugu wa marehemu. kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Pole Bwana Issa. I felt for you. Yote heri kakangu!
ReplyDeleteInasikitisha poleni ndugu
ReplyDeletePole sana ankal
ReplyDeleteAllah ampe kauli thabiti na alifanye kaburi lake liwe ni ktk viwanja vya pepo.
ReplyDeleteINNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN. TUNAMUOMBA ALLAH MTUKUFU AWAPE SUBIRA NA AWALIPE KWA SUBIRA HIYO. TUNAMUOMBA ALLAH AMREHEMU MWANETU, AMSAMEHE NA AMUINGIZE PEPONI. AAAMIIIIIN.
ReplyDeleteInnaa lillah wainnaa ilayh rajiuun.pole ankal Allah akupe subra Na upasi mtihani huu.
ReplyDeleteIna Lillah wa ina Illah Rajghun. Poleni sana wafiwa.
ReplyDelete