Basi la DART likiwa limegongwa na gari ndogo leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Samora na Morogoro jijini Dar es salaam na kuzua mtafaruku mkubwa na mshangao.
Dereva akiripoti ajali makao makuu
![]() |
Jana Magomeni Mapipa kijana mmoja aligonga basi la UDART wakati akivuka. Chini ni taswira iliyosambaa mitandaoni bila maelezo ya kina ila inaonesha kuloikuwa na tatizo |
Hapo makutano ya Samora na Morogoro road kama hawajachukua hatua za haraka patatokea maafa makubwa kwa kuwa hakujawekwa taa za kuongozea, kwahiyo kila mmoja anajiona ana haki.
ReplyDeleteAlieturoga watanzania kafa
ReplyDelete