Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, James Kinyanyi (wa pili kushoto), Mkuu wa Huduma Rejereja za Kibenki wa benki hiyo, Musa Jallow (wa pili kulia), pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakishiriki mlo wa futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC na wafanyakazi wa benki hiyo, wakishiriki mlo wa futari iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC jijini Dar es Salaam na wafanyakazi wa benki hiyo, wakishiriki mlo wa futari iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...