Balozi wa Mfuko wa GEPF,Rose Ndauka akielezea majukumu
yake kama balozi na msanii wa filamu katika kuyaunganisha makundi mbalimbali
ya kijamii kujiunga na Mfuko wa GEPF. Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina.
Balozi wa Mfuko wa GEPF, Rose Ndauka akikabidhi rasmi zawadi hizo kwa mwenyekiti wa kikundi huku
akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko Bw Aloyce Ntukamazina. Kulia ni Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina
Katibu wa kikundi cha Tanzanite Disabled, Saidi Machako akitoa neno la shukurani kwa ujumbe kutoka GEPF kwa msaada wa baiskeli za kutembelea walizozipata, ambazo zitawasaidia katika shughuli zao za kila siku.
Pichani wasanii wa kikundi cha ngoma cha Tanzanite Group wakitoa burudani
kwa wageni wao kabla ya kupokea msaada huo.
Mmoja wa wanufaika wa msaada huo akifurahia zawadi hizo na Rose Ndauka.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...