Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa GEPF,  Edgar Shumbusho akimkabidhi baadhi ya vifaa hivyo Katibu Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto Bi Sihaba Nkinga
Katibu Mkuu Bi Sihaba Nkinga akitoa nenola shukurani kwa niaba ya wizara kwa ujumbe kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF
Mjumbe wa Baraza la NGO Bw Ajax Diria akitoa neon la shukurani kwa niaba ya baraza akishuhudiwa na mwenyekiti wa Baraza Bi Rukia Masasi.
Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Bw Aloyce Ntukamazina akielezea shughuli za Mfuko na mafanikio yaliyopatikana katika sekta binafsi ikihusisha na NGO’s kwa kipindi cha mwaka 2015/16 kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa wizara Bw Baraka Leonard.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...