Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii Mindi Kasiga, ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki baada ya kupokea Shahada ya Uzamili ya Diplomasia kwenye upande wa Usuluhishi wa Migogoro kutoka Chuo Kikuu cha Norwich kilichopo Northfield, Vermont Marekani.
Mindi Kasiga akipata picha ya kumbukumbu na mama yake Mama Christine Kasiga
\
Mindi Kasiga akiwa katika picha na mwanae Amara Tarimo
Mindi Kasiga akiwa na wanachuo wenzake baada ya kukamata nondoz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2016

    Hongera Mindi, ongeza biddi zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...