Sehemu ya kituo cha kupoza umeme cha KIA 132/33kV kilichopo mkoani Kilimanjaro kama kinavyoonekana pichani.
Meneja Miradi ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Mhandisi Emmanuel Manirabona (wa pili kutoka kulia) akielezea mafanikio ya kituo cha kupoza umeme cha KIA 132/33kV kilichopo mkoani Kilimanjaro.
Meneja Miradi ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Mhandisi Emmanuel Manirabona akielezea jinsi kifaa cha kuongozea mitambo ya umeme kinavyofanya kazi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mwarobaini wa kukatika kwa umeme Arusha wapatikana.
Ni baada ya kukamilika kwa kituo cha kupoza umeme cha KIA
Wateja zaidi ya 89,000 waunganishwa; TANESCO kukusanya bilioni 9 kwa mwezi Juni 06, 2016.
Kazi ya umeme wa uhakika na kuunganisha wengi ni nzuri iendelee.
ReplyDelete