Mkurugenzi wa Shirika la Mpingo Conservation Development Initiatives (MCDI), Ndg. Gasper Makala akimkabidhi Tuzo ya Kuhifadhi Mazingira Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi. Tuzo hii inajulikana kama Whitley Fund For Nature ambayo Ndg. Makala alipewa na motto wa Malkia wa Uingereza. Mkuu wa Mkoa alikabidhiwa tuzo hii tarehe 6/6/2016.
Picha ya pamoja ya viongozi ( akiwemmo Katibu Tawala Mkoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Liwale na Ruangwa) baada ya Mkuu wa Mkoa kukabidhiwa Tuzo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...